1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconOffizielle App
1K+Downloads
10MBGröße
Android Version Icon4.1.x+
Android-Version
2.0(26-02-2021)Letzte Version
-
(0 Bewertungen)
Age ratingPEGI-3
Herunterladen
DetailsBewertungenVersionenInfo
1/6

Beschreibung von Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tansania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tansania.

* Unaweza kusikiliza Radio in Tansania.

* Na mengine mengi .....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) – Version 2.0

(26-02-2021)
Weitere Versionen
Was ist neuSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

Es gibt noch keine Bewertungen oder Beurteilungen! Um die erste zu hinterlassen, installiere bitte

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) – APK Informationen

APK Version: 2.0Paket: com.gazeti.digitalwebbased
Kompatibilität zu Android: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Entwickler:Tanzania Tech MediaDatenschutzrichtlinie:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlBerechtigungen:28
Name: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Größe: 10 MBDownloads: 123Version : 2.0Erscheinungsdatum: 2021-02-26 13:33:53
Min. Bildschirmgröße: SMALLUnterstützte CPU: Paket-ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 Signatur: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Min. Bildschirmgröße: SMALLUnterstützte CPU: Paket-ID: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 Signatur: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66

Neueste Version von Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
123 Downloads10 MB Größe
Herunterladen

Weitere Versionen

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
123 Downloads8.5 MB Größe
Herunterladen
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
123 Downloads8.5 MB Größe
Herunterladen
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
123 Downloads7.5 MB Größe
Herunterladen
appcoins-gift
Bonus-SpieleGewinne noch mehr Belohnungen!
mehr